Isaiah 13:18-19


18 aMishale yao itawaangusha vijana,
hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga
wala hawataangalia watoto kwa huruma.

19 bBabeli, johari ya falme,
utukufu wa kiburi cha Wababeli,
Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo.

itaangushwa na Mungu
kama Sodoma na Gomora.
Copyright information for SwhKC